Nunua : uletewe hadi nyumbani
search
SkyGulio ni nini ?

SkyGulio ni soko linalotembea , soko hili linamruhusu mteja kununua bidhaa zote ambazo angenizipata sokoni kwa bei ileile na kuletewa hadi nyumbani. Si lazima aliyeagiza awepo nyumbani .Kwasasa huduma hii inatolewa kwa wakazi wa Dodoma - kisasa.

Unawezaje kutumia SkyGulio ?

Ili kuanza kutumia SkyGulio pakua app kwa kutafuta neno skygulio kwenye google play . baada tu ya kupakua utaona bidhaa zote zinazopatikana gulioni na bei zake , kisha unaweza kuchagua bidhaa yoyote upendayo na kuweka oda

Je, oda ya kwanza huwekwaje ?

Ili uweze kuweka oda ya kwanza kabisha. bofya sehemu ya kujisajili jaza jina lako na namba yako ya simu. kisha utatumiwa pini za kuhakikisha , kama pini zitachelewa jaza 2018 kisha tuma

Je, unaweza kuitumia kwenye kompyuta ?

Ndio unaweza kutembelea www.skygulio.com na kuendelea kutumia huduma hii

Namba ya huduma kwa wateja

Piga simu namba 0787 84 78 05 au 0757 27 35 04