Nunua : uletewe hadi nyumbani
search
Elisha Sindikwi

Msimamizi mkuu wa mradi:
Anahusika na

  1. Utatuzi wa changamoto za kitaalamu (system maintanance )
  2. Kusimamia matangazo
  3. Kuwasiliana na wawekezaji na wadhanimi
Mawasiliano : 0753 02 76 76

Bertha Landu

Msimamizi mkuu wa huduma :
Anahusika na

  1. Utatuzi wa changamoto za wateja
  2. Kusimamia ufanisi wa huduma ( quality assurance )
  3. Kupokea mapendekezo mapya na huduma maalumu
Mawasiliano : 0782 65 89 35

Hekima Msigwa

Mratibu usambazaji :
Anahusika na

  1. Kuhakiki ufikishwaji wa bidhaa kwa wateja
  2. Kutafuta masoko mapya
  3. Kuhakiki ubora wa bidhaa kabla ya kuwafikia wateja
Mawasiliano : 0757 51 47 18